Mpishi amchinja na 'kumpika' mpenziwe


Mwanamume ambaye kazi yake ni ya upishi nchini Australia, anadaiwa kumuua mpenzi

Papa kujadili ndoa na talaka kanisani


Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amefungua rasmi mkutano wa viongozi wakuu wa kanisa hilo kujadili maswala kama vile uzazi wa mpango, talaka na ndoa za jinsia

Messi matatani kwa kukwepa kodi


Nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya

Jeshi la Somalia na AU wadhibiti Barawe




Wanajeshi wa Somalia wakisaidiwa na vikosi vya Muungano wa Afrika kwa sasa

Ebola:Hofu kwa watoto Marekani

Watoto watano katika jimbo la Texas nchini Marekani waliokutana na mwanamume

Tangazo la biashara lazua zogo China


Kampuni moja nchini China inakabiliwa na tisho la kutozwa kiwango kikubwa cha faini kwa

TZ:Vijana wanavyokomoana mitandaoni



Nchini Tanzania baadhi ya vijana wamekuta picha zao wakiwa uchi zikienezwa katika

Facebook yalazimika kuomba radhi

Mtandao wa Facebook umewaomba radhi jamii ya wanaume na wanawake waliobadili jinsia yao au (transgender) kwa kusisitiza kuwa lazima watumie majina yao halisi kwenye