Ukiangalia Picha hizo zinajieleza vizuri hao ni wanafunzi wa shule za
sekondari
, Je Vitendo hivyo wanavyofanya ni matokeo ya shule za
boarding jinsia Moja ?
Nakumbuka mtoto wa jirani yangu alienda
shule moja ya Boarding hapa Bongo alivyorudi likizo akaanza kuwatongoza
wasichana wenzake wa hapa mtaani kwetu