SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI MBEYA

Msanii wa Bongo Fleva, Barnaba Boy usiku wa kuamkia leo alifanya bonge la
shoo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya na kuwateka mashabiki wake.


Recho akifanya makamuzi kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Mbeya na wacheza shoo wake.

Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music akifanya makamuzi kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya usiku wa kuamkia leo.

Mshindi wa Serengeti Fiesta 2012 kutoka Mbeya Neylee, akiimba jukwaani.

Linah akitoa burudani.

Recho akiwapagawisha washabiki. 

Msanii wa Bongo Fleva, Linex akitoa burudani usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.




Umati wa mashabiki katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.


Mr. Blue naye hakuwa mbali na shoo