shughuli nyingine nje ya ofisi .
Mbasha alipanda kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yake hiyo ambapo mwendesha mashtaka Kiyoja Catherine
aliahirisha kesi hiyo kutokana na Hakimu Williberforce Luwhego kupata dharura.
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tena 17 October mwaka huu ambapo Mahakama itaanza kusikiliza ushahidi ambapo upande wa mashtaka utakuwa na mashahidi wanne kwenye kesi hii inayomkabili mume wa Flora Mbasha anaekabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo ya ubakaji.Mara ya mwisho
kabla ya kesi hii kuahirishwa,Flora Mbasha alikwenda Mahakamani kwa mara ya kwanza akiwa na watu wake na hakukutana wala kuongea na mume wake ambapo muda mfupibaadaye kesi hiyo iliahirishwa.