Mkataba wafikiwa kusitisha vita Ukraine

Serikali ya Ukraine na wapiganaji wa nchi hiyo wanaounga mkono Urusi wamekubaliana kusitisha mapigano yaliyodumu miezi kadhaa mashariki ya nchi hiyo.
Makubaliano hayo,yalifikiwa katika mazungumzo kati ya pande hizo mbili pamoja na wajumbe katika eneo la Min

kwamba mkataba huo wa mazungumzo utadumu.
Akiongea katika mkutano viongozi wa NATO, unaoendelea Wales, Rais Poroshenko, amesema kuwa hatua ya kubadilishana kwa wafungwa inapaswa kufanyika hivi punde.
Mapigano yamekuwa yakiendelea nchini Ukrainekwa siku nzima leo karibu na eneo mji unaodhibitiwa na serikali wa Mariupol.

Wakati huohuo, Marekani na muungano wa ulaya zinapanga kutangaza vikwazo zaidi dhidi ya urusi licha makubaliano ya kusitisha mapigano yataafikiwa hii leo mjini Belarus.