baba levo pamoja na peter msechu hawakuwa nyuma kwani walitoa burudani za kutosha bila kufanya makosa
lakini mashabiki hawakubaki nyuma pia nao walitoa ushilikiano wakutosha
makomando pia hawakuwa nyuma kwani walifanya vilivyo walishambulia juu kwaa kwa sana