WASANII WALIOBAKI MAJINA TUUUUUUUUUUU
      Image result for AFANDE SELE
zamani mziki wa bongo fleva ulipotambulishwa mimi niliaminikuwa mtu kama DUDU BAYA,,MR NICE,,ambao enzi hizo walikuwa wanapasua anga ya mziki tanzania leo ukiwauliza juu ya gemu linaendaje watakuambia bado alija badilika,,,,,wezetu majuu wanafanya mziki kazi,biashara,na burudani pia,,
Mtazame leo DAIMOND PLATINUM.,,anapochukua jukumu la kutamulisha mziki japo wa kimataifa kihivo,,,
wasanii wakike bado awanamwamko mkubwa kwenye gemu la kibongobongobado sijaona nafasi ya wasanii wa kike kwenyekufanya vizuri ..mtazame LADY JAY DEE bado anaonyesha kwamba bado yupo na you fiti katika gemu,,,
ALY KIBA ..PROF JAY,,AY,,BINAMU,bado wanatafuta gemu na bado wanaonyesha kuwa imara,,,SWALI YUKO WAPI WANAMUZIKI HAWA ,,,,,,,,,AFANDE SELE ,,FEROUZ,,swali la kujiuliza pia sijamsahau SAIDA KAROLI pamoja na REHEMA CHARAMILA RC poa niayo wanangu