Petit Man Na Esma Dada Yake Diamond Platnumz Wafunga Ndoa.

Esma Abdul ambaye ni dada wa Diamond Platnumz  amefunga doa jana

na Petit Man ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu ya Endless Fame Productions.
Petit Man pia ni meneja wa mwanamuziki Mirror. Ndoa hiyo ni ya kiislamu na celebrities kadhaa walihudhuria.