MH. SUGU AMWAGANA NA MKEWE..HIKI NDICHO KISA KIZIMA

 
Mh. Sugu, Faiza Ally na mtoto wao Sasha
Muigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe
wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ! well....kupiia Instagram Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema. Faiza aliandika........