.Mcheki akiwa ndani ya Bikini, Paja lote nje kuupitia Account
yake ya Instagram,
Shilole amezitupiahizi picha akiwa na Jamaa yake ( Nuh Mziwanda )
huku mashabiki wake
zaidi ya laki moja wakiambulia kusuuza macho kwenye mapaja ya
binti huyu wa kinyamwezi