ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere
hivi
karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi
karibuni maeneo ya Kinondoni. Akizungumza jijini Dar alisema kuwa
alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila
gari lake liliharika upande wake
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya
Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa
mbele.